Habari na Matukio

WIZARA YA MALIASILI KUIMARISHA USHIRIKIANO NA JESHI LA POLISI KATIKA KUSHUGHULIKIA UPELELEZI UHALIFU

Wizara ya Maliasili na Utalii imesema itaendelea kushirikiana na Jeshi la Polisi kupitia ofisi za upelelezi za mikoa na wilaya katika kushughulikia masuala yote yanayohusu uhalifu wa wanyampori na mazao ya Misitu.…

Soma Zaidi

KATIBU MKUU MALIASILI NA UTALII AHIMIZA WATUMISHI TFS KUWA NA SIKU MAALUMU YA KUKUTANA NJE YA KAZI.

Katibu Mkuu Wizara ya Maliasili na utalii Dkt Francis Michael akiwa katika ziara ya kikazi Ofisi ya TFS Makao Makuu Mpingo house jijini Dar es salaam tarehe 29/03/2022, amemhimiza Kamishna wa Uhifadhi TFS Profesa…

Soma Zaidi

Kamati ya Bunge yatoa neno katazo la kusafirisha viumbe hai nje

KAMATI ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji ya Umma (PIC) imejia juu katazo la kusafirisha viumbe hai nje ya nchi jambo ambalo limewaathiri wafugaji wa vipepeo katika milima ya Amani wilayani Muheza mkoani…

Soma Zaidi

USAFIRISHAJI WA VIUMBE HAI NJE YA NCHI WAWAATHIRI WAFUGAJI MILIMA YA AMANI MUHEZA.

Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Uwekezaji na Mitaji  ya Umma (PIC), imejia juu katazo la kusafirisha viumbe hai nje ya nchi jambo ambalo  limewaathiri wafugaji wa vipepeo katika milima ya Amani wilayani Muheza…

Soma Zaidi

Mwenyekiti PIC aipongeza TFS kwa usimamizi mzuri wa fedha za MiradI

Akizungumza katika kikao Maalumu kilichofanyika tarehe 20/03/2022 baada ya kukagua miradi inayotekelezwa na TFS katika Msitu wa Hifadhi ya Mazingira asilia Amani uliopo Wilayani Mheza Mkoani Tanga,Mwenyekiti wa…

Soma Zaidi

Bodi ya Washauri TFS yaongezewa muda kutokana na usimamizi mzuri

BODI ya Ushauri ya Wizara kwa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), imefanya kazi kubwa katika kipindi cha miaka mitatu, jambo ambalo limemfanya Waziri wa Maliasili na Utalii, Dk Damas Ndumbaro kuiongezea muda…

Soma Zaidi

Wizara ya maliasili na utalii yazindua namba za kijeshi za magari, mitambo na vyombo vingine

WIZARA ya Maliasili na Utalii, imezindua rasmi namba za kijeshi zitakazotumika katika magari, mitambo na vyombo vingine vya moto vya Jeshi la Uhifadhi wa Wanyamapori na Misitu Tanzania. Akizungumza wakati wa uzinduzi…

Soma Zaidi

Tutailinda Misitu angani na ardhini – Prof. Silayo

Dodoma: Kamishna wa Uhifadhi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Profesa Dos Santos Silayo amesema usimamizi na ulinzi wa rasilimali za misitu utafanyika kutokea ardhini na ikilazimu angani, ili kuhakikisha…

Soma Zaidi