BODI YA USHAURI TFS YATEMBELEA HIFADHI YA MAZINGIRA ASILIA AMANI

BODI ya Ushauri ya Wizara kwa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) wametembelea Hifadhi ya Mazingira Asilia Amani iliyopo Muheza mkoani Tanga lengo likiwa ni kukagua uboreshaji wa miundombinu na huduma…

Soma Zaidi

PROF. SILAYO AWATAKA WALIOVAMIA MISITU HANDENI, KILINDI TANGA KUONDOA

SERIKALI imetaka wananchi wote waliovamia hifadhi za misitu wilayani Handeni na Kilindi mkoani Tanga kuondoka mara moja na kutangaza kuwachukulia hatua kali za kisheria wale wote watakaokahidi agizo hilo huku ikieleza…

Soma Zaidi

TFS, Blue Carbon zasaini Hati ya Makubaliano ya Biashara ya Hewa Ukaa

Kampuni ya Blue Carbon chini ya uwenyekiti wa mwanamfame Sheikh Ahmed Dalmook Juma Al Maktoum wa Falme za Kiarabu UAE imetia saini hati ya makubaliano na Serikali ya Tanzania kupitia Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania…

Soma Zaidi
Kamishna wa Uhifadhi TFS Prof. Dos Santos Silayo (aliyesimama) akimueleza jinsi walivyojipanga kulinda rasilimali misitu nchini Mwenyekiti wa Bodi ya Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Brigedia Jenerali Mbaraka Mkeremy  (aliyekaa)

WAHIFADHI 47 WAHITIMU MAFUNZO YA UONGOZI WA KIJESHI JIJINI ARUSHA

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Brigedia Jenerali Mbaraka Naziad Mkeremy amewataka wahitimu 47 wa mafunzo ya uongozi wa kijeshi kwa viongozi wa TFS kuhakikisha wanafanya kazi kwa…

Soma Zaidi

UUZAJI WA MITI YA MISAJI KWA NJIA YA MNADA WA KIELEKTRONIKI

UUZAJI WA MITI YA MISAJI KWA NJIA YA MNADA WA KIELEKTRONIKI Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) utauza miti aina ya misaji yenye jumla ya  meta za ujazo 13,235.27 iliyopo…

Soma Zaidi