UUZAJI WA MITI YA MISAJI KWENYE MISITU YA HIFADHI YA KWANI NA TONGWE-MUHEZA NA HIFADHI YA NILO
Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS)-Kanda ya Kaskazini unatarajia kuuza miti aina ya Misaji (tectona grandis (teak) yenye jumla ya meta za ujazo 1,600.883 iliyopo katika mipaka ya Misitu ya Hifadhi…
Soma Zaidi