Kwa nini Serikali imeamua kuilinda Misitu kijeshi?

Misitu inatajwa kuwa ndiyo rasilimali muhimu kuliko zote duniani katika maisha ya binadamu, lakini ndiyo inayoongoza kuathiriwa na kuharibiwa kwa kasi kubwa na watu. Umuhimu wa misitu unatokana na kuwa chanzo cha…

Soma Zaidi

Askari 140 wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania Wahitimu Mafunzo Mlele,Katavi

Mlele.  Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Costantine Kanyasu amewataka askari wa misitu waliohitimu mafunzo ya kijeshi kuhakikisha wanarejesha katika uoto wake wa asili maeneo yote ya misitu ambayo…

Soma Zaidi

Jeshi Lashirikiana na TFS kupanda Miti

Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) kwa kushirikina na Chuo cha Taifa cha Ulinzi (NDC) kilichopo Kunduchi wamepanda miti kando kando ya mto Tegeta. Katika zoezi  hilo lililofanyika asubuhi ya leo Katibu…

Soma Zaidi

Mkurugenzi wa Rasilimali za Misitu Akipanda Mti Siku ya Maadhimisho Aprili,01.2019

Watanzania wametakiwa kuwa na utamaduni wa kupanda na kutunza miti, ili kujiondoa kwenye athari zinazotokana na mabadiliko ya tabia nchi yanayochangiwa kwa kiasi kikubwa na uharibifu wa mazingira. Wito huo umetolewa…

Soma Zaidi
Wajumbe wa Bodi (Waliokaa Kushoto), Prof. Dos Santos Silayo , Br. Jenerali Mkeremy, Mh. Dr, Khamis Kigwangalla

WAZIRI DK.KIGWANGALLA AZINDUA BODI YA USHAURI YA WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU TANZANIA ,ATOA PONGEZI

WAZIRI wa Maliasili na Utalii Dk.Hamisi Kigwangalla amesema kuwa tangu kuazishwa kwa Wakala wa Huduma za Misitu( TFS) ambao umefikisha miaka minane sasa yameshuhudiwa mafanikio ya  kuridhisha. Mafanikio hayo…

Soma Zaidi

Utiliaji Saini Mkataba wa Ushirikiano wa Matumizi bora ya Ardhi kati ya TFS na NLUPC

TAARIFA YA MTENDAJI MKUU WA WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU TANZANIA (TFS) PROF. DOS SANTOS SILAYO KATIKA TUKIO LA KUTILIANA SAINI MKATABA WA USHIRIKIANO NA TUME YA TAIFA YA MIPANGO YA MATUMIZI YA ARDHI (NLUPC) KATIKA…

Soma Zaidi