WAZIRI WA MALIASILI DR,DAMAS NDUMBARO AWATAKA WATANZANIA KUJIPANGA KUTUMIA NISHATI YA MKAA MBADALA
WAZIRI wa Maliasili na Utalii Dr, Damas Ndumbaro amewataka watanzania kujipanga kutumia Nishati ya mkaa mbadala ili kuendelea kuilinda misitu isiharibiwe. Wito huo ameutoa wakati akizindua mkakati wa utekelezaji…
Soma Zaidi