MITI YA MISAJI KUIINGIZIA SERIKALI SHILINGI 2.9 BILIONI

MUHEZA – TANGA: Serikali inatarajia kukusanya jumla ya shilingi 2,933,266,522.26 za kitanzania baada ya kuuza jumla ya meta za ujazo 4,465.735 m3 za miti ya misaji katika Shamba ya Miti Mtibwa…

Soma Zaidi

TFS YAKABIDHI VIFAA VYA TEHAMA KWA SHULE ZA MSINGI MBILI

Tunduma – Songwe: Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania – TFS umekabidhi Kompyuta 34 na Meza 20 na viti 40 zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 40 kwa shule…

Soma Zaidi

TANGAZO LA MNADA WA MKURUNGU MKOANI TABORA 20 SEPTEMBA, 2021

UUZAJI WA MAGOGO YA MTI AINA YA MKURUNGU KWA NJIA YA MNADA KATIKA KIJIJI CHA WACHAWASEME (IGAGALA No 9) NA KIJIJI CHA MPWAGA (IGAGALA No3) WILAYANI KALIUA MKOA WA TABORA  Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania…

Soma Zaidi

WAZIRI WA MALIASILI DR,DAMAS NDUMBARO AWATAKA WATANZANIA KUJIPANGA KUTUMIA NISHATI YA MKAA MBADALA

WAZIRI wa Maliasili na Utalii Dr, Damas Ndumbaro amewataka watanzania kujipanga kutumia Nishati ya  mkaa mbadala ili kuendelea kuilinda misitu isiharibiwe. Wito huo ameutoa wakati akizindua mkakati wa utekelezaji…

Soma Zaidi

SALES OF STANDING TEAK TREES BY PUBLIC AUCTION AT MTIBWA AND LONGUZA FOREST PLANTATIONS

Tanzania Forest Services Agency (TFS) intends to sale standing teaktrees with a total volume of 8,676.111 m3 grown at Mtibwa in Turiani, Morogoro Region and Longuza in Muheza, Tanga Region. A total…

Soma Zaidi