UUZAJI WA MITI YA MISAJI KWA NJIA YA MNADA WA KIELEKTRONIKI

Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) utauza miti aina ya misaji yenye jumla ya  meta za ujazo 10,437.616 iliyopo katika Shamba la miti Mtibwa, Turiani Mkoani Morogoro    na Shamba la miti…

Soma Zaidi

SALES OF STANDING TEAK TREES BY ELECTRONIC AUCTION

The Tanzania Forest Service (TFS) Agency will sell standing trees with 10,437.616 m3 located at Mtibwa Forest Plantation, Turiani in Morogoro Region, and Longuza Forest Plantation, Muheza in Tanga Region. 4,385.087…

Soma Zaidi

UUZAJI WA MAGOGO YA MTI WA MKURUNGU KWA NJIA YA MNADA KATIKA ENEO LA BANDARI YA NCHI KAVU – UBUNGO,

Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) utauza magogo vipande 18,489 ya mti wa Mkurungu (Pterocarpus Tinctorius) yenye jumla ya meta za ujazo 1,357.026 iliyopo katika eneo la Bandari ya Nchi Kavu –…

Soma Zaidi

FOMU YA MAOMBI YA UVUNAJI MITI KIBIASHARA

Fomu ya maombi imendaliwa kwa kuzingatia Kanuni Namba 3 ya Kanuni za Misitu, 2004; Tangazo la Serikali Na. 69 la tarehe 9/06/2006; Tangazo la Serikali Na. 255 la tarehe 28/07/2017 na Tangazo la Serikali Na. 173…

Soma Zaidi