Uuzaji kwa Njia ya Mnada wa Magogo Yaliyokamatwa na Kutaifishwa Nyanda za Juu Kusini
Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) unatarajia kuuza magogo ya miti ambayo yalivunwa kinyume cha sheria ya misitu. Magogo ya Mkulungu (Pterocarpus tinctorius) yana jumla ya meta za ujazo 912.13 na magogo ya…
Soma Zaidi