Resources » News and Events

UUZAJI WA MAZAO YA MISITU YALIYOPO KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TFS KANDA YA MAGHARIBI

Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) unatarajia kuuza mazao ya misitu (magogo; mbao; magunia ya mkaa; fremu za milango na milango) kwa njia ya mnada katika maeneo mbalimbali katika mikoa ya Kanda ya Magharibi (jedwali Na. 1). Tarehe na muda wa mnada kwa kila eneo imeoneshwa katika jedwali. Mazao yote yatauzwa kama yanavyoonekana katika eneo husika na Mnunuzi hatakuwa na haki ya kudai fidia baada ya mauzo. Uuzaji huu utafanyika kwa kuzingatia kanuni 31 (ii) ya kanuni za sheria ya misitu za mwaka 2004.
 

Downloads File: