Resources » News and Events

TFS, MAGEREZA KUSHIRIKIANA KUZALISHA SAMANI KWA MALIGHAFI YA NDANI

Kamishna Uhifadhi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania ( TFS) Prof.Dos Santos Silayo akizungumza na Kamishna Jenerali wa Jeshi la  Magereza nchini,  Suleiman Mzee mara baada ya kutembelea Kiwanda cha  kutengenezea Samani chenye mashine  kinachomilikiwaKamishna Uhifadhi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania ( TFS) Prof.Dos Santos Silayo akizungumza na Kamishna Jenerali wa Jeshi la Magereza nchini, Suleiman Mzee mara baada ya kutembelea Kiwanda cha kutengenezea Samani chenye mashine kinachomilikiwa

Kamishna Uhifadhi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania ( TFS) Prof.Dos Santos Silayo akizungumza na Kamishna Jenerali wa Jeshi la  Magereza nchini,  Suleiman Mzee mara baada ya kutembelea Kiwanda cha  kutengenezea Samani chenye mashine  kinachomilikiwa na Magereza   ikiwa ni utekelezaji wa maagizo ya Amiri Jeshi Mkuu, Dkt.John Pombe Magufuli aliyoyatoa wakati akizindua majengo ya Makao Makuu ya Jeshi la Magereza Jijini Dodoma ambapo aliwataka Makamishna wa Majeshi kukutana ili kujenga ushirikiano wa kikazi katika misitu tunayoisimamia pamoja malighafi zinazotoka kwenye Misitu ambapo Jeshi la Magereza ni miongoni mwa Wadau wa Malighallfi tunazozalisha.

Kamishna Uhifadhi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania, Prof.Dos Santos Silayo akisaini kitabu cha Wageni mara baada ya kuwasili katika Ofisi za Makao Makuu ya Magereza nchini zilizopo Dodoma ikiwa ni Utejelezaji wa maagizo ya Amiri Jeshi Mkuu, Dkt John Pombe Magufuli ambapo aliwataka Malamishna wa Majeshi nchini kukutana kwa lengo la kuimarisha mahusiano ya kikazi ambapo Jeshi la Magereza ni Wadau wakubwa TFS  katika kutengeneza Samani zinazotokana na Mazao ya Misitu


Kamishna Jenerali wa Jeshi la  Magereza nchini,  Suleiman Mzee akizungumza na  Kamishna Uhifadhi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania ( TFS) Prof.Dos Santos Silayo mara baada ya kufanya mazungumzo ya kujenga ushirikiano kati ya Jeshi hilo na TFS katika kulinda mazingira kwa kupanda miti ikiwa pamoja na kupata malighafi kutoka TFS kwa  Kiwanda cha  kutengenezea Samani chenye mashine  kinachomilikiwa na Magereza. Ziara ya Kamishina wa TFS aliyoifanya leo katika ofisi za Makao Makuu ya Jeshi la Magereza Jijini Dodoma  ni utekelezaji wa maagizo ya Amiri Jeshi Mkuu, Dkt.John Pombe Magufuli aliyoyatoa wakati akizindua majengo ya Makao Makuu ya Jeshi hilo ambapo aliwataka Makamishna wa Majeshi kukutana ili kujenga ushirikiano wa kikazi  ambapo Jeshi la Magereza ni miongoni mwa Wadau wakubwa wa  Malighallfi zinazozalisha na TFS


Kamishna Uhifadhi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania ( TFS) Prof.Dos Santos Silayo akiwa na Kamishna wa Jeshi la Magereza nchini, Suleiman Mzee wakiangalia mashine zilizopo katika kiwanda cha kutengenezea Samani kinachomilikiwa na Jeshi hilo mara baada ya kutembelea Kiwanda hicho kilicho katika hatua za mwisho kukamilika kilichopo Msalato Jijini Dodoma.


Kamishna Uhifadhi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Prof.Dos Santos Silayo akizungumza na Kamishna wa Jeshi la Magereza  nchini, Suleiman Mzee wakati alipotembelea  ofisi za Makao Makuu ya Jeshi hilo ikiwa ni Utekelezaji wa maelekezo ya Amiri Jeshi Mkuu, Dkt.John Pombe Magufuli wakati akizindua majengo ya Makao Makuu ya Magereza ambapo aliwataka Makamishna nchi kukutana ili kujenga ushirikiano wa Kikazi.


Kamishna Uhifadhi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania ( TFS) Prof.Dos Santos Silayo akiwa na Kamishna wa Jeshi la Magereza nchini, Sulemani Mzee wakiangalia baadhi ya vitalu vya miche vinavyooteshwa na Jeshi hilo wakati Kamishna wa TFS alipotembelea Makao Makuu ya Jeshi hilo yaliyopo Msalato mkoani Dodoma.


Kamishna wa Jeshi la Magereza nchini, Suleiman Mzee akiwa Kamishna Uhifadhi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania ( TFS) Prof.Dos Santos Silayo wakiangalia ramani ya kiwanda cha Kisasa cha kutengenezea saman ambacho kipo mbioni  kukamilika kitakachokiwa kikitumia mashine za kisasa katika kutengeneza fenicha.