Resources » News and Events

Tangazo la Kuuza Mazao ya Misitu

Katika kipindi cha 2020/2021 Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) unategemea kuuza mazao ya misitu (miti/magogo) katika mashamba 11 ya miti ya kupanda.

Wakala unakaribisha maombi ya uvunaji msitu kwa 2020/2021 kutoka kwa Wamiliki wa viwanda vya kuchakata magogo vilivyohakikiwa na kusajiliwa na Wakala. Maombi ya uvunaji msitu yatumwe kwa Meneja wa shamba la Miti husika (rejea jedwali) kuanzia tarehe 29 Mei hadi 12 Juni, 2020 kwa kujazo fomu ya maombi ya uvunaji msitu 2020/2021. Fomu za maombi zinapatikana katika tovuti ya Wakala (www.tfs.go.tz) na ofisi ya meneja wa shamba.

Jedwali Na. 1: Orodha ya mashamba ya miti na jamii ya miti inayopatikana katika mashamba hayo

Na.

Jina la shamba

Anwani

Mahali lilipo

Aina ya miti

1

Sao Hill

S.L.P 45, Mafinga

Mufindi- Iringa

Misindano (Pinus patula), na

Mikaratusi (Eucalyptus spp).

2

Meru/Usa

S.L.P 1257 Arusha

Arumeru- Arusha

Misindano (Pinus patula),

Mikaratusi (Eucalyptus maidenii),

Loliondo (Olea capensis),

Mkavelia (Grevillea robusta), na

Acacia melanoxylon.

3

Buhindi

S.L.P 1480 Mwanza

Sengerema- Mwanza

Misindano (Pinus caribaea).

4

North Kilimanjaro (Rongai)

S.L.P 40 Tarakea.

Rombo –Kilimanjaro

Misindano (Pinus patula),

Mikaratusi (Eucalyptus grandis),

Acacia melanoxylon, na

Mti kunuka (Cedrela ordorata).

5

West Kilimanjaro

S.L.P 161 Hai

Hai- Kilimanjaro

Misindano (Pinus patula), na

Cupressus lusitanica.

6

Shume

S.L.P 60 Lushoto

Lushoto- Tanga

Misindano (Pinus patula),

Cupressus lusitanica,

Mikaratusi (Eucalyptus maidenii), na

Acacia melanoxylon.

7

Kawetire

S.L.P 770 Mbeya

Mbeya

Misindano (Pinus patula), na

Mikaratusi (Eucalyptus maidenii).

8

Kiwira

S.L.P 991 Mbeya

Rungwe- Mbeya

Misindano (Pinus patula)

9

Rubya

S.L.P 134  Nansio

Ukerewe- Mwanza

Misindano (Pinus tercunumanii)

10

Rubare

S.L.P 930 Bukoba

Bukoba- Kagera

Misindano (Pinus caribaea

11

Ukaguru

S.L.P 2 GAIRO

Gairo- Morogoro

Misindano (Pinus patula), na

Mikaratusi (Eucalyptus spp).

 

Limetolewa na

 

 

Mtendaji Mkuu

Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania