Tenders and Vacancies

Mnada wa uuzaji wa Miti ya Misaji, Korogwe na Longuza

 Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) unatarajia kuuza miti aina ya misaji yenye jumla ya meta za ujazo 8,113.177 iliyopo katika shamba ya miti Mtibwa mkoani Morogoro na Longuza mkoani Tanga. Jumla ya…

Read More

Mnada wa Miti ya Misaji

Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) unatarajia kuuza miti aina ya Misaji yenye jumla ya meta za ujazo 9,452.74 iliyopo mashamba ya miti ya Mtibwa na Longuza mkoani Morogoro na Tanga mtawalia. Jumla ya meta…

Read More

MNADA WA KUUZA MITI YA MISINDANO KATIKA SHAMBA LA MITI LA SAO HILL

MNADA WA KUUZA MITI YA MISINDANO (Pinus Spp) KATIKA VITALU VILIYOATHIRIWA NA MOTO KATIKA SHAMBA LA MITI LA SAO HILL- TARAFA YA KWANZA WILAYANI MUFINDI     TAREHE YA MNADA      …

Read More

Mnada wa Teak iliyopo mipakani mwa hifadhi ya wilaya ya Muheza na Hifadhi ya Mazingira Nilo

Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) unatarajia kuuza miti aina ya Misaji yenye jumla ya meta za ujazo 1,600.883 iliyopo katika mipaka ya Misitu ya Hifadhi ya Kwani na Tongwe Wilayani Muheza na Msitu wa Hifadhi…

Read More

UUZAJI WA MAZAO YA MISITU YALIYOPO KATIKA VITUO MBALIMBALI VYA TFS KANDA YA MAGHARIBI

Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) unatarajia kuuza mazao ya misitu (magogo; mbao; magunia ya mkaa; fremu za milango na milango) kwa njia ya mnada katika maeneo mbalimbali katika mikoa ya Kanda ya Magharibi…

Read More