News and Events

Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe Jokate Mwegelo akichana mfuko uliowekewa mche wa mti kabla ya kuupanda , leo Machi 6,2021 katika eneo la nje ya geti la Hifadhi ya Msitu Asilia wa Pugu Kazimzumbwi uliopo wilayani Kisarawe mkoani Pwani.

WANANCHI WAPEWA WITO KUWEKEZA KWENYE MISITU WA PUGU KAZIMZUMBWI

WAKALA wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) umetoa mwito kwa wananchi, wadau na wawekezaji wa ndani na nje ya nchi kuwekeza katika misitu ya Serikali ambayo imehifadhiwa na TFS ukiwemo Msitu wa Hifadhi ya…

Read More
Kulia ni Katibu Mkuu @wizarayamaliasilinautalii Dkt. Alloyce Nzuki akijadiliana namna gani Utalii na uwekezaji wilayani hapo unaweza kufanikiwa kwa kutumia fursa za uwepo wa Msitu wa Hifadhi wa Kazimzumbwi na Mkuu wa Wilaya ya Kisarawe @jokatemwegelo kwen

KISARAWE USHOROBA FESTIVAL KUWEKWA KWENYE KARENDA YA MATUKIO YA UTALII YA MWAKA

KUMEKUCHA Kisarawe! Ndivyo unavyoweza kuelezea baada ya Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais,Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa(TAMISEMI) Seleman Jafo kuzindua rasmi Kisarawe Ushoroba Festival huku akiwataka wadau kuchangamkia…

Read More
Moja kati ya magari yanayohamisha magogo kutoka Shamba la Miti la Serikali Sao Hill Mafinga mkoani Iringa kwenda kwenye viwanda vya wavunaji tayari kwa kuchakata magogo hayo na kupata mbao ambazo huuzwa kwenye soko la ndani na nje ya nchi.

TARATIBU ZA KUSAFIRISHA MAZAO YA MISITU NA NYUKI NJE YA NCHI

Mazao ya misitu ni kati ya mazao yanayozalishwa nchini na kuuzwa nje ya nchi na kuliingizia Taifa fedha za kigeni. Ili kuhakikisha kuwa biashara na usafirishaji wa mazao ya misitu inafanyika kwa njia halali, Serikali…

Read More
Kamishna wa Uhifadhi-TFS, Prof. Dos Santos Silayo akikagua baadhi ya bidhaa katika moja ya mabanda ya washiriki waliofika katika Kongamano la Kimataifa la Sayansi Juu ya Mnyororo wa Thamani wa Mazao ya Misitu na Nyuki leo Mlimani City, DSM.

MPANGO UFUGAJI NYUKI, UTAFITI WA MISITU WAZINDULIWA..MAKAMU WA RAIS ATOA MAELEKEZO NA MAAGIZO ..

MAKAMU wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan amezindua Mpango wa Kwanza wa Ufugaji Nyuki pamoja na Mpango wa Tatu wa Utafiti wa Misitu ikiwa ni mkakati katika kuongeza mnyororo wa thamani katika mazao ya misitu na nyuki.…

Read More
Kamishna Uhifadhi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania ( TFS) Prof.Dos Santos Silayo akizungumza na Kamishna Jenerali wa Jeshi la  Magereza nchini,  Suleiman Mzee mara baada ya kutembelea Kiwanda cha  kutengenezea Samani chenye mashine  kinachomilikiwa

TFS, MAGEREZA KUSHIRIKIANA KUZALISHA SAMANI KWA MALIGHAFI YA NDANI

Kamishna Uhifadhi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania ( TFS) Prof.Dos Santos Silayo akizungumza na Kamishna Jenerali wa Jeshi la  Magereza nchini,  Suleiman Mzee mara baada ya kutembelea Kiwanda cha …

Read More
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Joseph Magufuli akiwa na viongozi wengine akizindua rasmi Shamba la Miti Silayo

RAIS MHE. DKT. MAGUFULI AZINDUA SHAMBA LA MITI SILAYO MKOANI GEITA

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. John Pombe Joseph Magufuli 27 Januari, 2021 amezindua Shamba la Miti lililopo katika Wilaya ya Chato Mkoani Geita na kuagiza shamba hilo liitwe Shamba na Miti Silayo…

Read More

Mnada wa uuzaji wa Miti ya Misaji, Korogwe na Longuza

 Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) unatarajia kuuza miti aina ya misaji yenye jumla ya meta za ujazo 8,113.177 iliyopo katika shamba ya miti Mtibwa mkoani Morogoro na Longuza mkoani Tanga. Jumla ya…

Read More