Kamishna wa Uhifadhi TFS Prof. Dos Santos Silayo (aliyesimama) akimueleza jinsi walivyojipanga kulinda rasilimali misitu nchini Mwenyekiti wa Bodi ya Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Brigedia Jenerali Mbaraka Mkeremy  (aliyekaa)

WAHIFADHI 47 WAHITIMU MAFUNZO YA UONGOZI WA KIJESHI JIJINI ARUSHA

Mwenyekiti wa Bodi ya Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Brigedia Jenerali Mbaraka Naziad Mkeremy amewataka wahitimu 47 wa mafunzo ya uongozi wa kijeshi kwa viongozi wa TFS kuhakikisha wanafanya kazi kwa…

Read More

UUZAJI WA MITI YA MISAJI KWA NJIA YA MNADA WA KIELEKTRONIKI

UUZAJI WA MITI YA MISAJI KWA NJIA YA MNADA WA KIELEKTRONIKI Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) utauza miti aina ya misaji yenye jumla ya  meta za ujazo 13,235.27 iliyopo…

Read More