Uuzaji wa miti ya misaji kwa njia ya mnada katika shamba la miti Mtibwa na Longuza
Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) utauza miti aina ya misaji yenye jumla ya meta za ujazo 6,755.935 iliyopo katika mashamba ya miti Mtibwa Mkoani Morogoro na Longuza Mkoani Tanga. Jumla ya meta za ujazo…
Read More