TFS YAUNGANA NA NCHI SITA KUBORESHA UFUATILIAJI WA HEWA UKAA KUPITIA MITI ILIYO NJE YA MISITU
Salima, Malawi — Tanzania, kupitia Wakala wa Huduma za Misitu (TFS), imeungana na nchi nyingine za Afrika katika warsha ya kimataifa iliyojadili mbinu mpya za kupima na kufuatilia kiwango cha hewa ukaa kinachofyonzwa na miti inayoota nje ya…