PROF. SILAYO ASISITIZA NIDHAMU YA FEDHA NA USHIRIKIANO KATIKA UCHAMBUZI WA BAJETI YA TFS 2026/2027
Morogoro. Kamishna wa Uhifadhi wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Prof. Dos Santos Silayo, amewataka wahifadhi wa TFS kuzingatia nidhamu ya matumizi ya fedha na kuandaa mipango yenye tija ili kuhakikisha Bajeti ya mwaka wa fedha 2026/2027…