Resources

Mkuu wa Chuo cha Viwanda vya Misitu (FITI) anatangaza nafasi za kujiunga na Chuo cha Viwanda vya Misitu kwa mwaka wa masomo 2016/2017. Chuo hiki kinapatikana mtaa wa Viwanda, wilaya ya Moshi Mjini, Mkoa wa Kilimanjaro. Chuo hiki kinamilikiwa na Wizara ya Maliasili na Utalii, kimesajilwa na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) kwa namba REG/ANE/019. Pia Mkuu wa Chuo anapenda kuwatangazia…

Read More


Serikali ya Tanzania kupitia Wizara ya Maliasili na Utalii, Tamisemi na Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira na Muungano inategemea kuanzisha programu ya pamoja wa upandaji miti nchini kwa ajili ya uhifadhi na undelezaji wa mazingira ili kukabiliana na mabadiliko ya tabia nchi.

Akizungumza katika mkutano wa pamoja uliwakutanisha Mawaziri wa Wizara ya Maliasili, Utalii…

Read More

Wakala wa Huduma za misitu Tanzania kwa niaba ya
Wizara ya Maliasili na Utalii imesaini Mkataba wa makubaliano na serikali ya mapinduzi Zanzibar kupitia Kurugenzi ya Misitu na Maliasili kuzuia Usafirishwaji wa mazao ya misitu isivyo halali kupitia bandari bubu zilizopo katika Bahari ya Hindi.

Read More