Resources

VOTE for Mt Kilimanjaro Tanzania as Africa’s Leading Tourist Attraction in World Travel Awards 2017

Read More

Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) unatarajia kuuza magogo ya miti ambayo yalivunwa kinyume cha sheria ya misitu. Magogo ya Mkulungu (Pterocarpus tinctorius) yana jumla ya meta za ujazo 912.13 na magogo ya Mseni (Brachystegia spp) yana meta za ujazo 31.27. Magogo yote yapo maeneo mbalimbali ya wilaya katika kanda ya Nyanda za juu kusini. Mauzo haya yatafanyika katika maeneo ambapo…

Read More