Downloads

Fomu ya maombi imendaliwa kwa kuzingatia Kanuni Namba 3 ya Kanuni za Misitu, 2004; Tangazo la Serikali Na. 69 la tarehe 9/06/2006

Read More

Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) unatarajia kuuza miti aina ya Misaji yenye jumla ya meta za ujazo 4,480.91 iliyopo mashamba ya miti ya Mtibwa na Longuza yaliyopo mikoa ya Morogoro na Tanga. Mauzo haya yatafanyika Juni 29, 2017 katika chuo cha Taifa cha Utalii Kampasi ya BUSTANI kilichopo katika makutano ya Mtaa wa Shaaban Robert/Samora Avenue mjini Dar es Salaam saa nne na…

Read More

Tanzania Forest Services Agency (TFS) intends to sale standing teak trees with a total volume of 4,480.91 cubic meters grown at Mtibwa and Longuza Forest Plantations at Turiani, Morogoro Region and Muheza, Tanga Region respectively. The standing teak trees which are grouped into felling couples will be sold through Private Agreement on 29th Juni, 2017 at 10.30 AM at National College…

Read More

Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) unatarajia kuuza miti aina ya Misaji yenye jumla ya meta za ujazo 7,067.338 zilizopo katika shamba la miti Mtibwa Mkoani Morogoro na Longuza Mkoani Tanga. Jumla ya meta za ujazo 2,111.516 zinatarajiwa kuuzwa katika shamba la miti Mtibwa na meta za ujazo 4,955.822 katika shamba la miti Longuza. Mauzo haya yatafanyika Mei 10, 2017 katika ofisi…

Read More

Tanzania Forest Services Agency (TFS) intends to sale standing teak trees with a total volume of 7,067.338 cubic meters grown at Mtibwa and Longuza Forest Plantations in Turiani, Morogoro Region and Muheza, Tanga Region respectively. A total volume of 2,111.516 and 4,955.822 will be sold from Longuza and Mtibwa forest plantations respectively. The standing teak trees which are grouped…

Read More