Resources

Slipa 1356 zinazotokana na miti ya mtondoro, mkuruti na mgunga chuma zenye ujazo wa cubic mita 267.39 na thamani ya Tshs 61,064,150 zimezuiliwa kwa sababu hazikufuata taratibu za uvunaji na usafirishaji kama zinavyoainishwa kwenye sheria ya misitu.

Read More

Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri wa Wakala wa Huduma za Misitu(TFS) Bi Esther Mkwizu alifungua kikao cha17 cha Bodi hiyo kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za utafiti wa Misitu Tanzania(TAFORI) mjini Morogoro.

Read More

Serikali ya Tanzania na Zambia zimesaini makubaliano ( Mou) ya kudhibiti usafirishaji wa mazao ya misitu na magogo kwa lengo la kulinda misitu na kuimarisha uhifadhi wa nchi hizo.
Makubaliano hayo yalitiwa saini na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Maj. Gen. Gaudence Milanzi na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili, Ardhi na Hifadhi ya Mazingira ya nchini Zambia, Bw. Trevol…

Read More