Habari » Downloads

Tangazo-FITI

Mkuu wa Chuo cha Viwanda vya Misitu (FITI) - Moshi anatangaza nafasi za kujiunga na mafunzo vya Viwanda vya Misitu kwa mwaka wa masomo 2015/2016. Wizara itagharamia ada ya mafunzo kwa waombaji wachache na wengi wa watakaochaguliwa watajilipia wenyewe.

Pakua Faili: