Habari

Makamu Wa Rais Atembelea Hifadhi ya Mazingira Asilia Chome

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan leo ameendelea na ziara yake mkoani Kilimanjaro ambapo mapema hivi leo alitembelea ofisi ya Hifadhi ya Mazingira Asilia Chome…

Soma Zaidi

Naibu Waziri, Mhe Hasunga Kuunda Tume ya Kuchunguza Chanzo cha Moto Shamba la Miti Sao-Hill

Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe Japhet Hasunga wa kwanza kuliaNaibu Waziri wa Maliasili na utalii Mhe Japhet Hasunga ametoa tamko la kuundwa kwa tume ya kuchunguza chanzo cha matukio ya moto ambayo yametokea…

Soma Zaidi
Mtendaji Mkuu wa wakala wa Huduma za Misitu Tanzania TFS Dos Santos Silayo akiwa na Mkuu wa Wilaya ya Biharamulo Mhe. Sada Malunde walipotembelea Msitu wa Nyantakara-Biharamulo kuona jinsi wavamizi wilayani humo wanavyoathiri uhifadhi.

DC AWATANGAZIA KIAMA WAVAMIZI WA MISITU BIHARAMULO

Mkuu wa Wilaya ya Biharamulo Mhe. Sada Malunde amewataka wote wanaoendesha shughuli za kilimo na ufugaji katika misitu ya hifadhi ya Biharamulo na msitu wa Nyantakara wilayani humo kuondoka mara moja kabla…

Soma Zaidi

MIPANGO YA MATUMIZI BORA YA ARDHI KWA VIJIJI VINAVYOZUIZUNGUKA HIFADHI YA SERIKALI KUU WAJA

Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania -TFS imeendesha kikao kati yake na ofisi ya Tume ya Matumizi Bora ya Ardhi – NLUPC kwa ajili ya kuhakikisha kunakuwepo na mipango ya matumizi bora ya ardhi kwa vijiji 120…

Soma Zaidi