Resources » Tenders and Vacancies

Tangazo la Kujiunga na Chuo Cha Viwanda vya Misitu kwa Mwaka wa Masomo 2016/2017

Mkuu wa Chuo cha Viwanda vya Misitu (FITI) anatangaza nafasi za kujiunga na Chuo cha Viwanda vya Misitu kwa mwaka wa masomo 2016/2017. Chuo hiki kinapatikana mtaa wa Viwanda, wilaya ya Moshi Mjini, Mkoa wa Kilimanjaro. Chuo hiki kinamilikiwa na Wizara ya Maliasili na Utalii, kimesajilwa na Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) kwa namba REG/ANE/019.

Pia Mkuu wa Chuo anapenda kuwatangazia wananchi wote kuwa chuo kimefanya marekebisho makubwa ili kuhakikisha vijana wengi waliomaliza kidato cha nne na sita wanapata nafasi ya kujiunga na mafunzo ya Misitu, matumizi ya misitu na utunzaji wa mazingira kwa ujumla.

Downloads File: