News and Events

Wajumbe wa Bodi (Waliokaa Kushoto), Prof. Dos Santos Silayo , Br. Jenerali Mkeremy, Mh. Dr, Khamis Kigwangalla

WAZIRI DK.KIGWANGALLA AZINDUA BODI YA USHAURI YA WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU TANZANIA ,ATOA PONGEZI

WAZIRI wa Maliasili na Utalii Dk.Hamisi Kigwangalla amesema kuwa tangu kuazishwa kwa Wakala wa Huduma za Misitu( TFS) ambao umefikisha miaka minane sasa yameshuhudiwa mafanikio ya  kuridhisha. Mafanikio hayo…

Read More

Utiliaji Saini Mkataba wa Ushirikiano wa Matumizi bora ya Ardhi kati ya TFS na NLUPC

TAARIFA YA MTENDAJI MKUU WA WAKALA WA HUDUMA ZA MISITU TANZANIA (TFS) PROF. DOS SANTOS SILAYO KATIKA TUKIO LA KUTILIANA SAINI MKATABA WA USHIRIKIANO NA TUME YA TAIFA YA MIPANGO YA MATUMIZI YA ARDHI (NLUPC) KATIKA…

Read More

Waziri Makamba Aitaka NEMC Kuiga Utendaji wa TFS

Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano na Mazingira ) Mhe. January Makamba (kushoto) akimkabidhi rasmi vitendea kazi Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) Prof. Dos Santos Silayo…

Read More