MWENYEKITI WA BODI TFS AIPONGEZA TFS KWA UTENDAJI ULIOTUKUKA

Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri ya Wizara Maliasili na Utalii kwa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania Brigedia Generali Mbaraka Mkeremy amewapongeza waahasibu na watumishi wa TFS kwa kuchagiza TFS kupata Hati Safi…

Read More

Asali ya Tanzania inayozalishwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), yapata soko SADC

Asali ya Tanzania inayozalishwa na Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), imepata soko katika nchi za Jumuiya ya Maendeleo ya kusini mwa Afrika(SADC), kupitia maonyesho ya bidhaa katika siku ya mwisho ya wiki…

Read More

WANANCHI WATAKIWA KUPANDA MITI KWA AJILI YA KIZAZI CHA SASA NA KIJACHO

JUU PICHANI: Meneja wa Shamba la Miti Sao Hill Tarafa ya Kwanza Irundi Bi. Glory Fortunatus akitoa maelezo wa viongozi mbalimbali kutoka mkoani Geita waliofika kwenye ziara ya mafunzo katika bustani ya  miche…

Read More

KAMISHNA MHIFADHI WA MISITU PROF. DOS SANTOS SILAYO AWASILI MAKAO MAKUU YA TFS JIJINI DAR ES SALAAM

Kwa mara ya kwanza tangu avishwe cheo cha Kamishna Mhifadhi wa Misitu na Mhe. Dkt Hamisi Kigwangalla, Waziri wa Maliasili na Utalii na hatimaye kula Kiapo cha Utii na uadilifu mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano…

Read More