Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia wakala wa misitu TFS washiriki siku ya kupanda miti duniani

Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia wakala wa misitu TFS washiriki siku ya kupanda miti duniani

Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS), Juma Mgoo akishiriki ufunguzi wa shamba jipya la miti lenye ukubwa wa takriban hekta 12,000 katika eneo la Mbizi, karibu kabisa na Manispaa ya Sumbawanga Mkoani Rukwa ikienda sambamba na siku ya kupanda miti duniani

  • Google+
  • PrintFriendly