News

Angalizo: Taarifa kuhusu mgao zinapatikana pia katika mashamba husika

Read More

Slipa 1356 zinazotokana na miti ya mtondoro, mkuruti na mgunga chuma zenye ujazo wa cubic mita 267.39 na thamani ya Tshs 61,064,150 zimezuiliwa kwa sababu hazikufuata taratibu za uvunaji na usafirishaji kama zinavyoainishwa kwenye sheria ya misitu.

Read More

Mwenyekiti wa Bodi ya Ushauri wa Wakala wa Huduma za Misitu(TFS) Bi Esther Mkwizu alifungua kikao cha17 cha Bodi hiyo kilichofanyika katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za utafiti wa Misitu Tanzania(TAFORI) mjini Morogoro.

Read More

Serikali ya Tanzania na Zambia zimesaini makubaliano ( Mou) ya kudhibiti usafirishaji wa mazao ya misitu na magogo kwa lengo la kulinda misitu na kuimarisha uhifadhi wa nchi hizo.
Makubaliano hayo yalitiwa saini na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili na Utalii, Maj. Gen. Gaudence Milanzi na Katibu Mkuu wa Wizara ya Maliasili, Ardhi na Hifadhi ya Mazingira ya nchini Zambia, Bw. Trevol…

Read More

Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia wakala wa huduma za misitu wamesaini mkataba wa makubaliano kuhusu ushirikiano wa uendelezaji misitu na wizara ya TAMISEMI. Maeneo ya kuzingatia katika mkataba huo yametajwa kuwa ni kuimarisha ushirikiano katika misitu na utawala bora, uperembaji miradi inayofadhiliwa na mfuko wa misitu Tanzania pamoja na kuboresha ukusanyaji, ugawaji, utumiaji na…

Read More