Resources » News and Events

Tangazo la Uuzaji Magogo na Slipa za Miti Mbalimbali Kanda ya Magharibi

Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) unatarajia kuuza magogo na slipa za miti ya aina mbalimbali ambayo ilivunwa kinyume cha sheria ya misitu. Magogo na slipa hizo zimehifadhiwa katika maeneo mbalimbali ya kanda ya Magharibi (wilaya ya Sikonge, Urambo, Kaliua, Mlele, Mpanda na Tanganyika), Mauzo haya yatafanyika kuanzia tarehe 24 Mei, 2017 hadi 09 Juni, 2017 saa tatu (3:00) kwa kila eneo
kama inavyoonekana hapo chini. Aidha, mazao (magogo na slipa) yote yatauzwa mahali yalipo na jinsi yalivyo na mnunuzi hatakuwa na haki ya kudai fidia baada ya mauzo.

Downloads File: