Resources

Jarida la Wakala wa Huduma za Misitu

Jarida la Wakala wa Huduma za Misitu

Read More

The Sale of Standing Teak Trees by Private Agreement in Mtibwa Morogoro and Longuza Muheza, Tanga

The Sale of Standing Teak Trees by Private Agreement in Mtibwa Morogoro and Longuza Muheza, Tanga

Read More

Uuzaji wa Miti ya Misaji Shamba la Miti Mtibwa, Morogoro na Longuza, Muheza Tanga

Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) unatarajia kuuza miti aina ya Misaji yenye jumla ya meta za ujazo 8,860.74 iliyopo mashamba ya miti ya Mtibwa na Longuza yaliyopo mikoa ya Morogoro na Tanga mtawalia.

Read More

Maadhimisho ya Siku ya Kutundika Mizinga ya Nyuki Kitaifa

Kaimu Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Huduma za Misitu (kulia) akitundika mzinga wa nyuki Mkoani Pwani wakati wa Maadhimisho ya Siku ya Kutundika Mizinga

Read More

TFS Yasaidia Madawati Mkoani Mwanza

Wizara ya Maliasili na Utalii kupitia Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) imekabidhi madawati 12,115 mkoani Mwanza ikiwa ni utekelezaji wa ahadi iliyotolewa bungeni mwanzoni mwa mwaka huu na Waziri wa Maliasili…

Read More

Mkataba wa TFS na PMP

Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) wasaini mkataba wa kuuziana malighafi ya miti aina ya misindano na mikaratusi na kiwanda cha karatasi cha Mufindi (MPM)

Read More

Jeshi la Polisi Mkoani Pwani kwa Kushirikiana na Maofisa wa Maliasili Wamekamata Viroba yya Bangi

Jeshi la Polisi kwa kushirikiana na Maofisa Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania (TFS) inamshikilia Dereva Bw.  Emanuel Bisama  (37) ambaye ni  mkazi wa Kimara Suka Dar es Salaam,kwa kosa la kusafirisha…

Read More

Majina yaliyopendekezwa kwa Mgao wa Miti 2016-2017

Majina yaliyopendekezwa kwa Mgao wa Miti 2016 - 2017

Read More