Wakala wa Huduma za Misitu Tanzania yatoa Majina kwa Wavunaji walioomba Vibali vya Kuvuna Miti 2015/16

Latest Highlights

Majina ya Wadau Waliopata Idhini ya Kuvuna Miti Katika Mashamba Ya Wakala kwa Mwaka 2015/2016Posted August 27, 2015

Wakala wa huduma za misitu Tanzania (TFS) imetoa idhini kwa waombaji wafuatao kuweza kupata mgao wa miti katika…

Read More »

Picha: Mama Mkwizu katikati (anayeandika) akiwa na baadhi ya wajumbe wa mkutano huo

Mwenyekiti wa Bodi ya TFS asisitiza uadilifu na ufanisi katika sekta ya Nyuki na MisituPosted August 04, 2015

Mwenyekiti wa Bodi ya ushauri ya Wizara (MAB) Bi Esther Mkwizu ameshauri watendaji waandamizi wa Wakala wa Huduma…

Read More »